Wilaya ya Kondoa

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Kondoa Vijijini)

Wilaya ya Kondoa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 417000[1]. Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Kondoa mjini.

Mahali pa wilaya za Kondoa (kijani kilichokolea) katika mkoa wa Dodoma.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kondoa ilihesabiwa kuwa 269,704. Mnamo mwaka 2015 mji wa Kondoa umetengwa kuwa halmashauri ya pekee (Wilaya ya Kondoa Mjini). Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa waliobaki katika wilaya ya awali walihesabiwa 244,854 [2].

Ndani ya wilaya hii kuna Michoro ya Kondoa, mahali pa sanaa ya miambani ambayo ni mahali pa urithi wa dunia.

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz
  Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania  

Bereko * Bumbuta * Busi * Changaa * Haubi * Hondomairo * Itaswi * Itololo * Kalamba * Keikei * Kikilo * Kikore * Kinyasi * Kisese * Kwadelo * Masange * Mnenia * Pahi * Salanka * Soera * Thawi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kondoa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.