Wilaya ya Mbogwe ni wilaya mpya katika mkoa mpya wa Geita, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 362,855 [1].

Makao makuu ya wilaya yako Mbogwe.

Tanbihi

hariri
  Kata za Wilaya ya Mbogwe - Mkoa wa Geita - Tanzania  

Bukandwe | Bunigonzi | Ikobe | Ikunguigazi | Ilolangulu | Iponya | Isebya | Lugunga | Lulembela | Masumbwe | Mbogwe | Nanda | Ngemo | Nhomolwa | Nyakafulu | Nyasato | Ushirika

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.