Wilaya ya Migori
Wilaya ya Migori ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Migori | |
Wilaya ya Isiolo katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Migori |
Eneo | |
- Jumla | 2,586.4 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 917,170 |
Makao makuu yalikuwa mjini Migori.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Migori.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Migori kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |