Wilaya ya Nyandarua


Wilaya ya Nyandarua ilikuwa mojawapo ya wilaya za Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya.

Wilaya ya Nyandarua
Mahali paWilaya ya Nyandarua
Mahali paWilaya ya Nyandarua
Mahali pa Wilaya ya Nyandarua katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Ol Kalou
Eneo
 - Jumla 3,107.7 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 596,268

Makao makuu yake yalikuwa Ol Kalou mjini.

Katikati ya miaka 2007-2010 iligawiwa pande mbili: Nyandarua Kaskazini na Nyandarua Kusini.

Baada ya katiba mpya, imekuwa Kaunti ya Nyandarua.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyandarua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.