Wilaya ya Shinyanga Vijijini

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Shinyanga vjijini)

Wilaya ya Shinyanga Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga yenye msimbo wa posta 37200[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 277,518 [1].

Mahali pa Shinyanga Vijijini (kijani) katika mkoa wa Shinyanga.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Shinyanga Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
  Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Bukene | Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabuke | Lyabusalu | Lyamidati | Masengwa | Mwakitolyo | Mwalukwa | Mwamala | Mwantini | Mwenge | Nsalala | Nyamalogo | Nyida | Pandagichiza | Puni | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule