Solwa ni kata ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania yenye msimbo wa posta 37213.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 31,542 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22,218 waishio humo.[2]

Mandhari au mazingira yake yanapendendeza na yanavutia sana na kwa upande wa biashara Solwa iko vizuri: ina maendeleo mazuri sana na wakazi wake ni wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi. Ingawa ni kata iliyo ndani ya wilaya ya Shinyanga Vijijini, huwa inaitwa jimbo la Solwa ambapo Shinyanga Vijijini ndipo inategemea mengi.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Bukene | Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabukande | Lyabusalu | Lyamidati | Masengwa | Mwakitolyo | Mwalukwa | Mwamala | Mwantini | Mwenge | Nsalala | Nyamalogo | Nyida | Pandagichiza | Puni | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Solwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.