Wilaya ya Wajir

Wilaya ya Wajir ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Wajir
Mahali pa Wilaya ya Wajir katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Wajir katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Wajir
Eneo
 - Wilaya 55,840.6 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 661,941

Makao makuu yalikuwa mjini Wajir.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Wajir.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Wajir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.