Willa Cather
Willa Sibert Cather (7 Desemba 1873 – 24 Aprili 1947) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1923, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake One of Ours.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Willa Cather kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |