William Motter Inge (3 Mei 191310 Juni 1973) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza Picnic.

William Inge mnamo mwaka 1954
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Inge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.