William Styron (11 Juni 19251 Novemba 2006) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya riwaya yake kuhusu Nat Turner.

William Styron
Faili:William Styron.jpg
Amezaliwa William Clark Styron, Jr.
11 Juni 1925
Virginia, Marekani
Amekufa 1 Novemba 2006
Massachusetts, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1951–2006
William Styron (1989)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Styron kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.