William wa Ockham (takriban 12859 Aprili 1349 au 1350) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka nchi ya Uingereza.

William wa Ockham

Ni maarufu hasa kama mwanateolojia na mwanafalsafa, lakini alijihusisha sana na siasa pia.

Alikuwa mmojawapo wa waanzishaji wa mantiki ya kisasa.

Pia alimkosoa Papa wakati wa mvutano kati yake na Wafransisko.

Athari yake juu ya ustaarabu wa magharibi ni kubwa sana.

Maandishi hariri

 
Quaestiones in quattuor libros sententiarum

Toleo bora la maandishi yake kuhusu falsafa na teolojia ni: William of Ockham: Opera philosophica et theologica, Gedeon Gál, et al., eds. 17 vols. St. Bonaventure, N. Y.: The Franciscan Institute, 1967–88.

Karibu maandishi yake yote juu ya siasa yamo katika: William of Ockham, H. S. Offler, et al., eds. 4 vols., 1940–97, Manchester: Manchester University Press [vols. 1–3]; Oxford: Oxford University Press [vol. 4].

Falsafa hariri

  • Summa logicae (c. 1323), Paris 1448, Bologna 1498, Venice 1508, Oxford 1675.
  • Quaestiones in octo libros physicorum (before 1327), Rome 1637.
  • Summulae in octo libros physicorum (before 1327), Venice 1506.
  • Quodlibeta septem (before 1327), Paris 1487.
  • Expositio aurea super artem veterem Aristotelis, 1323.
  • Major summa logices, Venice 1521.
  • Quaestiones in quattuor libros sententiarum, Lyons, 1495.
  • Centilogium theologicum, Lyons 1495.

Teolojia hariri

  • Questiones earumque decisiones, Lyons 1483.
  • Quodlibeta septem, Paris 1487, Strasbourg 1491.
  • Centilogium, Lyons 1494.
  • De sacramento altaris and De corpore christi, Strasbourg 1491, Venice 1516.
  • Tractatus de sacramento allans.

Siasa hariri

  • Opus nonaginta dierum (1332), Leuven 1481, Lyons 1495.
  • Dialogus* (begun in 1332) Paris 1476. Lyons 1495.
  • Super potestate summi pontificis octo quaestionum decisiones (1344).
  • Tractatus de dogmatibus Johannis XXII papae (1333–34).
  • Epistola ad fratres minores (1334).
  • De jurisdictione imperatoris in causis matrimonialibus, Heidelberg 1598.
  • Breviloquium de potestate tyrannica (1346).
  • De imperatorum et pontifcum potestate [also known as 'Defensorium'] (1348).

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William wa Ockham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.