Wilson Masilingi

(Elekezwa kutoka Wilson Mutagaywa Masilingi)

Wilson Mutagaywa Masilingi (amezaliwa tar. 12 Julai 1956) ni mbunge wa jimbo la Muleba South katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Masilingi

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Wilson Mutagaywa Masilingi (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.