Wimbi la Njaa
"Wimbi la Njaa" ni jina la wimbo wa Juma Nature akiwa na kundi lake la F.S.G kutoka Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. Wimbo umetoka mwaka 2000. Wimbo huu ni wimbo wa pili kurekdi akiwa na F.S.G na umepata kuonekana kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Juma Nature Nini Chanzo. Baadaye ukaja kufanyiwa remix akiwa na KR Mullah na kuwekwa katika albamu tu. Wakati huu muziki kutoka TMK ulikuwa unapamba moto. Juma Nature aliinua TMK vya kutosha kuanzia 2000 hadi 2006. Ngoma kibao alipata kushirikishwa na wasanii wengi kutoka TMK na wengine mahali pengine pa Dar.
"Hili Game" | ||
---|---|---|
"Hili Game" kava | ||
Wimbo wa Juma Nature
kutoka katika albamu ya Nini Chanzo | ||
Umetolewa | 2000/2001 | |
Umerekodiwa | 2000 | |
Aina ya wimbo | Hip hop | |
Urefu | 3:40 | |
Studio | Bongo Records | |
Mtunzi | Juma Nature | |
Mtayarishaji | P. Funk | |
Nini Chanzo orodha ya nyimbo | ||
|
Viungo vya Nje
hariri- Wimbi la Njaa katika wavuti ya AwesomeTapes From Africa
Makala hii kuhusu wimbo wa hip hop bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |