Katika utarakilishi na mtandao, Wingu tapa (kwa Kiingereza: tag cloud) ni wingu maneno ambalo hufanyizwa na tapa. Wingu tapa unatumiwa kwenye tovuti ili kurahisisha utafutaji.

Wingu tapa kwenye maneno linalotolewa na "ubaguzi wa rangi".

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.