Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (kwa Kiingereza: Ministry of Livestock Development and Fisheries) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.
Ofisi kuu ya wizara hii ilikuwa jijini Dar es Salaam.
Marejeo hariri
Tazama pia hariri
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |