Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Wizara ya Maji na Umwagliaji (Kiingereza: Ministry of Water and Irrigation kifupi (MAJI)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

Wizara ya maji na umwagiliaji ipo chini ya Amos G. Makala ambaye ni mbunge wa Mvomero aliyeteuliwa na rais mwaka 2013.

MarejeoEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit