Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Wizara ya Mifugo na Uvuvi (kwa Kiingereza: Ministry of Livestock and Fisheries) ni wizara mpya inayojitegemea ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania iliyopatikana baada ya kuvunjwa kwa wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na kutengeneza wizara mbili tofauti: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Ndivyo alivyoamua Rais John Pombe Joseph Magufuli tarehe 7 Oktoba 2017.
Wizara ya Mifugo na Uvuvi English: Ministry of Livestock and Fisheries | |
---|---|
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue,Dar es Salaam |
Waziri | Luhaga Joelson Mpina |
Naibu Waziri | Abdallah Hamis Ulega |
Tovuti | mem.go.tz |
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti Archived 30 Januari 2018 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |