Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (kwa Kiingereza: Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries; kifupi (Kilimo) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi English: Ministry of Agriculture,Livestock and Fisheries | |
---|---|
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue, Dar es Salaam |
Waziri | Josephat Hasunga. |
Naibu Waziri | William Ole Nasha |
Tovuti | mem.go.tz |
Ofisi kuu za wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam.
Tarehe 7 Oktoba 2017 Rais John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya tano, aliivunja wizara hii na kuifanya kuwa wizara mbili tofauti: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, na tarehe 9 Oktoba 2017 aliweza kuwaapisha rasmi mawaziri na naibu mawaziri wa wizara hizo.
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti Archived 30 Januari 2018 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |