Wolosso
Wolosso ni aina ya mchezo wa kimahaba kutoka Côte d'Ivoire unaojumuisha "kupigapiga matako", jambo lililoleta utata miongoni mwa Waislamu nchini Guinea.[1]
Malalamiko kadhaa ya ubakaji yametolewa na wanawake wadogo huko Conakry dhidi ya wanaume ambao waliwashutumu kwa kucheza mchezo wa Wolosso.[1]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Sillah, Alhassan. "Guinea's dirty dancing backlash", BBC Online, BBC, 2007-05-01.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wolosso kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |