Wushu (/ˌwuːˈʃuː/), au Kungfu ya Kichina, ni mchezo wa upiganaji ulioanzishwa nchini China.[1][2] Jina "Wushu" linatokana na maneno ya Kichina (武 "Wu" = kijeshi, kwa Kiingereza military or martial, na 術 "Shu" = Sanaa, kwa Kiingereza arts).

Mashindano ya Wushu katika Shindano la 10 la mashindano yote ya Kichina.

Wushu umekuwa mchezo wa kimataifa kupitia Shiririkisho la Kimataifa la Wushu (IWUF - International Wushu Federation). Shirikisho hili ndilo huendeleza michezo ya kimataifa ya wushu kama vile Michuano ya Dunia ya Wushu inayofanyika kila baada ya miaka miwili tangu shindano la kwanza mwaka wa 1991 Beijing, China.

Historia

hariri

Wushu ina historia ndefu tangu 1949 wakati serikali ya China ilijaribu kuratibu michezo nchini.[3]

Mashindano ya Wushu

hariri

Mashindano makuu ya wushu ni kama vile:

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Beijing Beat: A Blog of the 2008 Olympic Games : Kung Fu Fighting for Fans". web.archive.org. 2008-08-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-30. Iliwekwa mnamo 2019-01-25.
  2. "Of monks and martial arts", New York Times, 1983-09-11. Retrieved on 2019-01-25. 
  3. Zhongwen., Fu, (2006). Mastering Yang style Taijiquan. Swaim, Louis, 1953-. Berkeley, California: Blue Snake Books. ISBN 9781583941522. OCLC 62326802.{{cite book}}: CS1 maint: extra punctuation (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link)

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Wushu - (Kung Fu) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.