Xavier Bettel (amezaliwa 3 Machi 1973) ni mwanasiasa wa Luxemburg ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Luxemburg tangu mwaka 2013.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Xavier Bettel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.