Yana Daniëls

Mchezaji wa soka wa Kibelgiji.

Yana Daniëls (alizaliwa 8 Mei 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ubelgiji ambae anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji pamoja na klabu ya Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1][2] .[3]

Daniëls akichezea Ubelgiji mnamo 2018

Marejeo

hariri
  1. "Yana Daniels seals return to Liverpool FC Women". Liverpool FC. 2021-06-23. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
  2. https://www.liverpoolfc.com/news/ladies/305867-liverpool-ladies-sign-belgium-international-yana-daniels
  3. "Royal Belgian Football Association", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-02-25, iliwekwa mnamo 2024-04-21
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yana Daniëls kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.