Yasmine Allas (Kisomali: Yasmiin Callas‎, Kiarabu: ياسمين علس‎; alizaliwa 1967) ni mwanamke muigizaji na mwandishi mwenye asili ya Kisomalia na Kiholanzi.

Maisha binafsi hariri

Allas alizaliwa mnamo mwaka 1967 katika mji wa Mogadishu, ambao ni mji mkuu wa Somalia.[1][2] Familia yake ilikuwa ni ya kitajiri, ambapo baba yake alikuwa akifanya kazi kama Generali kwenye Jeshi la Somalia.[2] aliuawa mnamo mwaka 1977, alipokuwa bado mdogo.[3]

Marejeo hariri

  1. "Yasmine Allas". Nederlands Letterenfonds. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-31. Iliwekwa mnamo 25 February 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 Bruyn, Martje Breedt (16 May 1998). "Yasmine Allas schrijft door een vergrootglas". Vrij Nederland. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-16. Iliwekwa mnamo 25 February 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "MatchBoox". www.matchboox.com (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 2024-04-19.