You're Still the One
"You're Still the One" ni jina la kutaja wimbo uliotungwa shirika na kurekodiwa na mwimbaji wa muziki wa country kutoka nchini Kanada - Shania Twain. Wimbo ulitolewa mnamo mwezi wa Januari 1998 ukiwa kama wimbo wa tatu kutolewa kama single ya miondoko ya country kutoka katika albamu yake ya Come on Over, huku ukiwa kama wimbo wa kwanza kupagawisha katika soko la kimataifa.
“You're Still the One” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Shania Twain kutoka katika albamu ya Come on Over | |||||
B-side | "Don't Be Stupid (You Know I Love You)" (Toleo la kimataifa) | ||||
Imetolewa | Januari 27, 1998 (Marekani) Februari 16, 1998 (Uingereza) | ||||
Muundo |
| ||||
Imerekodiwa | 1997 | ||||
Aina | |||||
Urefu | 3:19 | ||||
Studio | Mercury Nashville | ||||
Mtunzi |
| ||||
Mtayarishaji | Robert John "Mutt" Lange | ||||
Certification | 2× Platinum (U.S.) Platinum (Australia) | ||||
Mwenendo wa single za Shania Twain | |||||
|
Wimbo umeingia nafasi ya pili katika chati za Billboard Hot 100 ukiufanya kuwa wimbo wa kwanza wa Twain kuingia katika chati hizo. Hata hivyo, haujatamba sana katika chati hizo, pamoja na hayo, bado kibao hiki hutazamiwa kama miongoni mwa vibao vya Twain ambavyo vimebamba balaa katika maredio yanayopiga country duniani.[1] Wimbo ulitungwa na Twain akiwa na Mutt Lange na kutayarishwa na Lange.
"You're Still the One" ulichaguliwa katika kategoria nne kwenye Grammy Awards mnamo 1999, huku ukishinda kategoria mbili tu. Ulishinda ukiwa kama Wimbo Bora wa Country na Mwimbaji Bora wa Kike wa Muziki wa Country na kupoteza Rekodi ya Mwaka na Wimbo wa Mwaka - badala yake Mkanada mwenzake , Celine Dion kachukua kwa ajili ya wimbo wake wa "My Heart Will Go On".[2]
Wimbo ulikuwa nafasi Na. 46 kwenye orodha ya VH1 ya "Nyimbo Bab-Kubwa 100 za Miaka ya '90s.[3]
Matoleo
hariri- CD-Maxi
- "You're Still The One" (Single Version) (3:19)
- "(If You're Not in it For Love) I'm Outta Here!" (Mutt Lange Mix) (4:21)
- "You Win My Love" (Mutt Lange Mix) (3:54)
- "You're Still The One" (LP Version) (3:34)
- U.S. CD Single
- "You're Still The One" (Radio Edit w/Intro) (3:34)
- "Don't Be Stupid (You Know I Love You)" (Remix) (3:37)
- Europe CD Single
- "You're Still The One" (Single Version) (3:19)
- "You're Still The One" (Soul Solution Dance Mix) (4:03)
- Canada CD-Maxi
- "You're Still The One" (Radio Edit w/Intro) (3:36)
- "You're Still The One" (Album Version) (3:32)
- "Don't Be Stupid (You Know I Love You)" (Dance Mix) (4:45)
- Dance Mixes CD-Maxi
- "You're Still The One" (Soul Solution Radio Mix) (4:03)
- "You're Still The One" (Soul Solution Extended Club Mix) (8:42)
- "You're Still The One" (Kano Dub) (7:46)
- "You're Still The One" (Soul Solution Percapella Dance Mix) (3:34)
- "You're Still The One" (Radio Edit w/Intro) (3:34)
Matoleo rasmi
hariri- Album Version (3:34)
- Radio Edit (3:19)
- International Version (3:34)
- International Version Single Mix (3:19)
- Soul Solution Radio Mix (4:03) (Also known as Soul Solution Dance Radio Edit)
- Soul Solution Radio Edit (4:08) (appears on the UK single 'When')
- Soul Solution Extended Club Mix (8:42)
- Soul Solution Percapella Dance Mix (3:35)
- Doug Beck Pleasure Dub (6:09)
- Kano Dub (7:46)
- Lenny B X-Mix (6:31)
- Live from Still the One: Live from Vegas (3:35)
- Live from Divas Live (3:37)
- Duet with Brazilian singer Paula Fernandes, a Porglish version (3:30)
Chati na tunukio
hariri
Chati za wikihariri
Toleo la Paula Fernandes
|
Chati za mwisho wa mwakahariri
Chati za mwishoni mwa muongohariri
TunukiohaririKigezo:Certification Table Top Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Bottom |
Marejeo
hariri- ↑ Kigezo:BillboardURLbyName Billboard chart history
- ↑ "41st annual Grammy nominees", cnn, January 5, 1999. Retrieved on November 28, 2006.
- ↑ "VH1: 100 Greatest Songs of the '90s". VH1. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-07. Iliwekwa mnamo Agosti 9, 2008.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Australian-charts.com – Shania Twain – You're Still the One". ARIA Top 50 Singles. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Ultratop.be – Shania Twain – You're Still the One" (in Dutch). Ultratop 50. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Lescharts.com – Shania Twain – You're Still the One" (in French). Les classement single. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Kigezo:Singlechart/germanencode/Kigezo:Singlechart/germanencode/single Die ganze Musik im Internet: Charts, News, Neuerscheinungen, Tickets, Genres, Genresuche, Genrelexikon, Künstler-Suche, Musik-Suche, Track-Suche, Ticket-Suche - musicline.de" (in German). Media Control Charts. PhonoNet GmbH. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Dutchcharts.nl – Shania Twain – You're Still the One" (in Dutch). Mega Single Top 100. Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Charts.org.nz – Shania Twain – You're Still the One". Top 40 Singles. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Shania Twain – You're Still the One swisscharts.com". Swiss Singles Chart. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Chart Stats – Shania Twain – You're Still the One" UK Singles Chart. Chart Stats. Retrieved January 13, 2012.
- ↑ "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Hot 100 for Shania Twain. Prometheus Global Media.
- ↑ "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Pop Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
- ↑ "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Country Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
- ↑ "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Adult Pop Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
- ↑ "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Adult Contemporary Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-01-06. Iliwekwa mnamo 2016-08-10.
- ↑ "ARIA Charts – End of Year Charts – Top 100 Singles 1998". Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "RPM Top 100 Adult Contemporary Tracks of 1998". RPM. Desemba 14, 1998. Iliwekwa mnamo Julai 14, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "RPM Top 100 Country Tracks of 1998". RPM. Desemba 14, 1998. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-15. Iliwekwa mnamo Julai 14, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dutch top 40 – 1998". Iliwekwa mnamo Julai 5, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Billboard Top 100 – 1998". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-09. Iliwekwa mnamo Agosti 28, 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Best of 1998: Country Songs". Billboard. Prometheus Global Media. 1998. Iliwekwa mnamo Julai 14, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Geoff Mayfield (Desemba 25, 1999). 1999 The Year in Music Totally '90s: Diary of a Decade – The listing of Top Pop Albums of the '90s & Hot 100 Singles of the '90s. Iliwekwa mnamo Oktoba 15, 2010.
{{cite book}}
:|work=
ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dutch top 40 – deceniumlist 90's". Iliwekwa mnamo Julai 5, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)