Youcef Belaïli
Mohamed Youcef Belaïli (alizaliwa 14 Machi 1992) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Algeria ambaye anacheza kama winga wa kushoto wa timu ya taifa ya Algeria..[1][2][3]
Maisha Ya Awali
haririBelaïli alizaliwa tarehe 14 Machi 1992 huko Oran.[4] Eldjoumhouria.dz. Retrieved on 31 August 2013 Alianza kucheza na klabu ya RCG Oran na baadae kucheza na klabu ya MC Oran.
Ushiriki Katika Klabu
haririMwanzo Wa Mwezi Machi, Espérance de Tunis Youcef Belaïli alianza maisha yake ya soka akiwa na klabu ya RCG Oran, kisha akahamia timu ya akiba ya MC Oran, Belaïli msimu wao wa kwanza katika ligi ya Division 1 walikuwa na klabu kama CA Bordj Bou Arreridj, na mechi yao ya kwanza ilikuwa tarehe 6 Machi 2010 dhidi ya klabu ya MC El Eulma kama mchezaji bora.Baada ya msimu mmoja pekee, Belaïli alirejea klabu ya MC Oran kwa misimu miwili.
Ushiriki Kimataifa
haririVijana
Belaili aliitwa na Timu Ya Algeria U23 kushiriki katika Mashindano ya UNAF ya U-23 ya 2010. Mnamo Desemba 13, 2010, alifunga bao la kibinafsi dakika ya 54 dhidi ya Cameroon U23s.
Marejeo
hariri- ↑ Algeria – Y. Belaïli – Profile with news, career statistics and history. Soccerway. Retrieved on 31 August 2013.
- ↑ EN Olympique : Stage du 3 au 7 novembre Ilihifadhiwa 17 Septemba 2012 kwenye Wayback Machine.. Dzfoot.Com (30 November 2010). Retrieved on 31 August 2013.
- ↑ EN Olympique: Stage ŕ Alger du 6 au 9 novembre Ilihifadhiwa 17 Septemba 2012 kwenye Wayback Machine.. Dzfoot.Com. Retrieved on 31 August 2013.
- ↑ يوسف بلايلي بلبل الحمراوة"إذا غادرت المولودية فسألعب في الخارج" يوسف بلايلي بلبل الحمراوة للجمهورية : Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine..
Viungo Vya Nje
hariri- Youcef Belaïli katika DZFoot.com (kwa Kifaransa)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Youcef Belaïli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |