Younès Belhanda

Mchezaji wa soka wa Moroko

Younès Belhanda (alizaliwa Ufaransa 25 Februari 1990) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye sasa anacheza klabu ya Galatasaray, na timu ya taifa ya Moroko.

Younès Belhanda
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Younès Belhanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.