Yudaya Nakayenze (alizaliwa 26 Juni 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uganda ambaye anacheza kama beki wa timu ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Uganda.[1][2] Mnamo tarehe 21 Julai 2018, alifunga bao la ushindi dakika ya 75 kwa kichwa katika timu ya Uganda walipoilaza na kuishinda timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Ethiopia kwa ushindi wa 2-1.[3][4]

Yudaya Nakayenze

Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yudaya Nakayenze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.