Zahanati (kutoka neno la Kiarabu; pia dispensari kutoka neno la Kiingereza dispensary lenye asili ya Kilatini dispensaria yaani mahali pa ugawaji wa dawa[1]) ni mahali ambapo huduma za tiba hutolewa kwa magonjwa yasiyo makubwa, lakini pia chanjo, uzazi wa mpango n.k. Vile vile huduma nyingine zitolewazo kwenye Zahanati ni pamoja na Huduma ya kwanza.

Zahanati huko Anjozorobe, Madagascar.

Kwa upande wa mazingira zahanati inaweza kupatikana shuleni, viwandani na hata kwenye taasisi mbalimbali zenye uhitaji wa huduma hiyo pindi tu ihitajikapo.

Tanbihi

hariri
  1. Merriam-Webster, Merriam-Webster's Unabridged Dictionary, Merriam-Webster, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-05-25, iliwekwa mnamo 2019-12-06. {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zahanati kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.