Zanefa Ngidi

Mwanamuziki wa Afrika Kusini

Zanefa Ngidi (alizaliwa 5 Februari1986) [1] ni raia wa Afrika Kusini na mwanamuziki wa maskandi.

Maisha ya Awali na Elimu

hariri

Alizaliwa 1986 huko Embizeni, Kwa-Maphumulo, karibu na mji wa Kwa-Zulu Natal wa KwaDukuza. Alimaliza elimu yake ya sekondari katika shule ya Upili ya Velangzwi.

Kazi ya muziki

hariri

2000:kazi ya awali alianza

hariri

Utoaji huduma yake ya muziki ulianza mapema miaka ya 2000. Ngidi ni mmoja wa watunzi wachanga bora zaidi katika tanzu hii.Ana uwezo wa kusimulia hadithi kupitia wimbo na muziki wake umejaa jumbe za mapenzi na hadithi kuhusu malezi yake. Zanefa alitoa zaidi ya albamu nne kutoka 2010. Alitoa albamu yake ya kwanza mwaka wa 2010 iliyoitwa Umona. Mradi huo ulimletea uteuzi wa Albamu Bora ya Mwaka ya Maskandi katika Tuzo za 2011 za kitamaduni nchini Afrika ya Kusini SA Traditional Music Awards (SATMA Awards).[2]

Diskografia

hariri

Albamu za studio

hariri
  • Umona (2010)
  • Amangwinya (2011)
  • Ebusweni bencwadi (2012)
  • Amahliphihliphi (2017)
  • Inyoka yami (2020)

Marejeo

hariri
  1. "Ngidi has the beat", SowetanLive, SowetanLive, 12 September 2001. 
  2. "ZANEFA NGIDI PROFILE" (PDF). Zuzmuzi music. Zuzmuzi music. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zanefa Ngidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje

hariri