Funguvisiwa la Zanzibar
(Elekezwa kutoka Zanzibar Archipelago)
Funguvisiwa la Zanzibar ni fungu la visiwa ambalo linapatikana katika Bahari ya Hindi.
Funguvisiwa hilo linaunda nchi ya Zanzibar ambayo ni sehemu mojawapo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Vikubwa kati ya visiwa hivyo ni Unguja na Pemba. Vingine ni
- Kisiwa cha Bawe
- Kisiwa cha Bird
- Kisiwa cha Changuu
- Kisiwa cha Chumbe
- Kisiwa cha Fundo
- Kisiwa cha Latham
- Kisiwa cha Tumbatu
- Kisiwa cha Uzi
- Kisiwa cha Vundwe
Wataalamu wengine wanahusisha na funguvisiwa hilo kisiwa cha Mafia na vingine vingi.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Funguvisiwa la Zanzibar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |