Zeituni au zaituni ni matunda ya mti mfupi wa familia ya Oleaceae (jina la kisayansi kwa Kilatini Olea europaea, yaani "mzeituni wa Ulaya", au Olea sylvestris, yaani "mzeituni wa msitu") unaopatikana hasa kandokando ya Bahari ya Kati, lakini pia sehemu nyingine za Afrika na Asia.[1]

Matunda ya zeituni

Matunda yake ni muhimu hasa kwa utengenezaji wa mafuta (90%), ingawa yanaliwa pia bila kushindiliwa (10%).

Toka zamani mafuta hayo yalitazamwa kuwa bora yakatumika katika ibada mbalimbali.

Picha hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zeituni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.