Zipora (kwa Kiebrania צִפוֹרָה, Tsippora au Ṣippôrā, yaani ndege; kwa Kigiriki Σεπφώρα, Sepphōra; kwa Kiarabu صفورة, Ṣaffūrah) anatajwa katika kitabu cha Kutoka kama mke wa Mose, na binti Yetro, kuhani wa Midiani.[1][2][3][4][5]

Sehemu ya Mose akihama Misri, mchoro wa Pietro Perugino, 1482 hivi. Zipora amevaa nguo ya rangi ya buluu.

Alimzalia Mose watoto wawili wa kiume: Gershom na Eliezer.

Kitabu cha kwanza cha Mambo ya Nyakati [6] kinataja wajukuu wake wawili: Shebueli, mwana wa Gershom, na Rehabia, mwana wa Eliezer.

Tanbihi hariri

  1. Corduan, Winfried (2013). Neighboring Faiths: A Christian Introduction to World Religions. p. 107. ISBN 0-8308-7197-7. 
  2. Mackey, Sandra (2009). Mirror of the Arab World: Lebanon in Conflict. p. 28. ISBN 0-3933-3374-4. 
  3. Lev, David (25 October 2010). MK Kara: Druze are Descended from Jews. Israel National News. Arutz Sheva. Iliwekwa mnamo 13 April 2011.
  4. Blumberg, Arnold (1985). Zion Before Zionism: 1838-1880. Syracuse, NY: Syracuse University Press. p. 201. ISBN 0-8156-2336-4. 
  5. Rosenfeld, Judy (1952). Ticket to Israel: An Informative Guide. p. 290. 
  6. 23:16-17

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zipora kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.