Ziwa la Como (kwa Kiitalia: Lago di Como) liko Italia kaskazini, katika mkoa wa Lombardia. Ndilo ziwa kubwa la tatu nchini Italia.

Ziwa la Como.
Ramani ya ziwa la Como.

Hapo zamani, watu matajiri na wenye nguvu, watu wa juu walinunua nyumba na majengo ya kifahari kwenye vilima vya Ziwa la Como tu, kama Pliny alivyofanya na Villa Commedia, ili wasikose mandhari na kukwepa mafuriko. Maskini walikwenda ufukweni kuruhusu maji kulamba miguu yao.[1]

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa la Como kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.