Open main menu

MatukioEdit

  • mji wa Karthago unatekwa na jeshi la Roma na kuharibiwa kabisa kwa amri ya Senati ya Roma. Mwisho wa vita ya tatu dhidi ya Wafinisia na mwisho wa Dola la Karthago.
  • mji wa Korintho unatekwa na jeshi la Roma na kuharibiwa kabisa.

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit