Jack Bauer
Jack Bauer ni jina la kutaja mhusika mkuu wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Kiefer Sutherland. Jack Bauer, amepata mafunzo makali na kufanya kazi katika viwango tofauti akiwa kama kachero wa serikali, ikiwemo na Jeshi la US - Delta Force, LAPD SWAT, CIA, na mwishoni katika Kitengo cha Kuzuia Ugaidi (CTU) cha Los Angeles.
Jack Bauer | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Kiefer Sutherland kama Jack Bauer | |
Imechezwa na | Kiefer Sutherland |
Hali | Yu hai |
Familia | Philip Bauer, Terri Bauer, Kim Bauer, Graem Bauer |
Misimu | 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 |
Mionekano Mingine | 24: Redemption |
Maelezo |
Ndani ya hadithi ya 24, yeye ndiyo mwanachama pekee wa kitengo kizima cha CTU na mara nyingi hufikirika kwamba yeye ndiye kachero pekee wa CTU waliyenaye. Kawaida kazi za Bauer zinahusiana na masuala ya kusaidia na kupambana na mashambulio ya kigaidi yanayofanyika Marekani, anasaidia wananchi na serikali yake.
Katika matukio mengi, Jack hajioni kama yeye ni babkubwa sana, hivyo wengi humlenga yeye na ndiye pekee mwenye kupendwa. Mwigizaji Kiefer Sutherland amecheza kama Jack Bauer katika mfululizo huu [1] na video gemu, na mwaka 2006 amesaini mkataba mwingine walau aongeze misimu mingine mitatu.[2] Bauer mara nyingi hutumia kutesa sana wakati wa kuhojiana na mharifu, na hii inasemekana ndiyo tabia kubwa ya wahojaji wa CIA.[3][4]
Marejeo
hariri- ↑ Ken Tucker, “24: Mondays, 9 p.m., premiering Sunday, Jan. 11, at 8 p.m.,” Entertainment Weekly 1030 (16 Januari 2009): 56.
- ↑ Stephen M. Silverman (2004-10-06). "Kiefer Sutherland: $40 Million Man". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-24. Iliwekwa mnamo 2008-04-28.
- ↑ Froomkin, Dan (2008-04-21). "Duped About Torture". The Washington Post. Iliwekwa mnamo 2009-01-24.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ Sands, Phillip. "Stress, hooding, noise, nudity, dogs", The Guardian, 2008-04-19. Retrieved on 2009-01-24.
Viungo vya Nje
hariri- Jack Bauer's Official Character Profile Ilihifadhiwa 4 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.