2C2PANE
2C2PANE au Tusitupane ni kundi la sanaa ya muziki lililoanzishwa na Conrad George Rutangantevyi a.k.a Conidee mwaka 2009 akiwa shule ya upili Bishopmpango katika wilaya ya Kibondo, mkoa wa Kigoma.
Kundi hilo lilijumuisha wasanii wawili ambao ni Conrad George Rutangantevyi (Conidee) na Laulence Habili Maseke (Lamas).
Mwaka 2010 usaliti uliingia baada ya mashabiki kumchochea Lamas kujitenga na Conidee kwa madai ya kuwa na kiwango cha juu sana kuliko Conidee, ndipo Conidee alipoamua kushirikiana na Tunu Ismail (Man T) kutoka kundi la Complicators, licha ya 2C2PANE kusalitiwa katika shoo hiyo ya mwisho ya 2C2PANE, Ilipiga bao.
Kwa sasa Conidee amebakia kama The hero of 2C2PANE, ambapo baada ya Conidee kuendelea, 2C2PANE itarejea Kimuziki.
Kwa sasa 2C2PANE imebakia kama kundi la mabachela yaani vijana wasiyo katika mahusiano ambalo Conidee ndiye mwasisi wake.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2C2PANE kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |