A Different Me ni albamu ya tatu kutoka kwa mwanamuziki: Keyshia Cole, iliyotolewa mnamo 16 Desemba 2008 nchini Marekani.[1][2] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA.[3]

A Different Me
A Different Me Cover
Kasha ya albamu ya A Different Me.
Studio album ya Keyshia Cole
Imetolewa 16 Desemba 2008
Imerekodiwa 2008
Aina R&B, hip hop soul
Lugha Kiingereza
Lebo Imani/Geffen, Interscope
Mtayarishaji Keyshia Cole (exec.), Manny Halley (exec.), Ron Fair (exec.), Polow da Don, The Runners, The Outsyders, Kwamé, Orthodox & Ransom, Carvin & Ivan, Toxic, Tank, Jason T. Miller, Theron "Neffu" Feemster, Reo, Poke & Tone, Spandor
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Keyshia Cole
Just like You
(2007)
A Different Me
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya A Different Me
  1. "Playa Cardz Right"
    Imetolewa: 28 Oktoba 2008
  2. "You Complete Me"
    Imetolewa: 20 Januari 2009
  3. "Trust"
    Imetolewa: 5 Mei 2009


Kuhusu albamu hii

hariri

Albamu hii inazingatia upevu wa sauti na maneno ya Keyshia Cole.[4] Cole alieleza kuwa albamu zake za awali zilizingatia machungu yake, lakini sasa amebadilisha mwelekeo na kuwa mwamamke ambayee bado anakomaa na aliye katika harakati ya kujutafuta katika dunia hii.

Matokeo

hariri

Andy Kellman wa hutoka Allmusic alipatia albamu hii nyota nne juu ya tano. Jim Farber wa kutoka Daily News (New York) pia aliipa nyota nne juu ya tano.[5]

Albamu hii ilifika namba 2 kwenye chati ya Billboard 200, na kuuza nakala 322,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[6] Katika wiki yake ya pili, albamu hii ilishuka hadi namba 7, na kuuza nakala 127,000.[7] Katika wiki ya tatu na ya nne, albamu hii ilibaki kwa namba 7 na kuuza nakala 54,000 kwenye wiki ya tatu na nakala 37,000 kwenye wiki ya nne.[8][9] Katika wiki yake ya tano, albamu hii ilishuka hadi namba 9, na ikauza nakala 31,000.[10] Kwenye wiki ya sita, albamu hii ilipanda hadi namba sita, na kuuza nakala 31,000.[11] Katika wiki yake ya saba, albamu hiiilishuka hadi namba 8, na kuuza nakala 31,000.[12] Katika wiki yake ya nane, albamu hii ilishuka hadi namba kumi, na kuuza nakala 34,000.[13] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA'. Mauzo ya nchini Marekani hadi Novemba 2009 ni takriban nakala 980,000.

Nyimbo zake

hariri
# JinaProducer(s) Urefu
1. "A Different Me Intro"  Reo 1:47
2. "Make Me Over"  Polow da Don & Ron Fair 3:06
3. "Please Don't Stop"  The Runners & Ron Fair 4:04
4. "Erotic"  "THE-RON" Feemster (Additional Production by Ron Fair) 4:10
5. "You Complete Me"  "THE-RON" Feemster (Additional Production by Ron Fair) 3:51
6. "No Other" (featuring Amina Harris)Kwamé (Additional Production by Ron Fair) 3:35
7. "Oh-Oh, Yeah-Yea" (featuring Nas)The Outsyders 3:58
8. "Playa Cardz Right" (featuring 2Pac)Carvin & Ivan and Ron Fair 4:51
9. "Brand New"  Additional Production by Ron Fair 4:16
10. "Trust" (with Monica)Toxic Donald Alford and Ron Fair, Written By Keyshia Cole 4:13
11. "Thought You Should Know"  Tank and Ron Fair 4:18
12. "This Is Us"  Ron Fair and Jason T. Miller 3:16
13. "Where This Love Could End Up"  Poke & Tone and The ARE 2:55
14. "Beautiful Music"  Poke & Tone and Spanador 3:59
15. "A Different Me Outro"  Reo 1:31
16. "Playa Cardz Right (No Rap Version)" (iTunes bonus track)Carvin & Ivan and Ron Fair 3:57
17. "I Love You (Part 3)" (featuring Lil Wayne) (iTunes bonus track)Carvin & Ivan and Ron Fair 4:23

Wafanyi kazi

hariri

  • Kid Named Gus – engineer
  • Jonathan Merritt – assistant engineer
  • Jason T. Miller - producer, guitar, synths
  • Peter Mokran – mixing
  • James Murray – engineer
  • Vek Neal – illustrations
  • Outsyders – producer, engineer
  • Carlos Oyanedel – mixing assistant
  • Dave Pensado – mixing
  • Jason Perry – drums
  • Poke & Tone – producer
  • Polow da Don – producer
  • James Poyser – producer
  • David "DQ" Quinones – engineer
  • Josh "Guido" Rivera – guitar
  • Mike Ruiz – photography
  • The Runners – producer, engineer
  • Allen Sides – string engineer
  • Johnnie "Smurf" Smith – keyboards
  • Phil Tan – mixing
  • Tank – producer
  • Eric Weaver – mixing assistant
  • Frank Wolf – string engineer
  • Andrew Wuepper – mixing assistant

Chati (2008) Namba
U.S. Billboard 200[14] 2
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[15] 1

Marejeo

hariri
  1. "Keyshia Cole official site". KeyshiaCole.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-29. Iliwekwa mnamo 2008-11-07. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)
  2. Mitchell, Gail (2008-11-07). "Keyshia Cole Shows A New Side Of 'Me'". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-18. Iliwekwa mnamo 2008-11-07.
  3. "RIAA - Platinum". RIAA. Iliwekwa mnamo 2009-03-19.
  4. "BET Keeps it all in the Family with the Return of 'Keyshia Cole: The Way It Is' and the New Original Series 'Brothers To Brutha'". MarketWatch. 2008-11-06. Iliwekwa mnamo 2008-11-07.
  5. Farber, Jim (2008-12-21). "A Keyshia Cole front". Daily News. Mortimer Zuckerman. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-07. Iliwekwa mnamo 2008-12-29.
  6. Cohen, Jonathan (2008-12-24). "Taylor Swift Trumps Big Debuts To Stay No. 1". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-25. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.
  7. Hasty, Katie (2008-12-31). "Taylor Swift Reigns Again On Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-01. Iliwekwa mnamo 2008-12-31.
  8. Hasty, Katie (2009-01-07). "Taylor Swift Still In Control Of Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 2009-01-07.
  9. Hasty, Katie (2009-01-14). "Taylor Swift Tops Album Chart For Sixth Week". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 2009-01-14.
  10. Hasty, Katie (2009-01-21). "Swift Makes It Lucky Seven Atop Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-22. Iliwekwa mnamo 2009-01-21.
  11. Hasty, Katie (2009-01-28). "Taylor Swift Album Starts Eighth Week At No. 1". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-31. Iliwekwa mnamo 2009-01-28.
  12. Hasty, Katie (2009-02-02). "Springsteen Has 'Dream' Debut Atop Album Chart". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-04. Iliwekwa mnamo 2009-02-02.
  13. Hasty, Katie (2009-02-11). "The Fray Topples Springsteen On Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-14. Iliwekwa mnamo 2009-02-11.
  14. "The Billboard 200 - A Different Me - Keyshia Cole". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-06. Iliwekwa mnamo 2008-12-31.
  15. "Top R&B/Hip-Hop Albums - A Different Me - Keyshia Cole". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-06. Iliwekwa mnamo 2008-12-31.