Abrahamu wa Ethiopia
Abrahamu wa Ethiopia ni kati ya Wakristo maarufu wa Ethiopia, labda askofu katika karne ya 4 au ya 5.
Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |