Abubakari Asenga

Mbunge wa Kilombero

Abubakar Damian Asenga (amezaliwa Juni 13, 1983) ni mwanasiasa wa Tanzania. Kwa sasa anahudumu kama mbunge wa Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Kilombero tangu Novemba 2020.[1] Alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro[2].

Marejeo

hariri
  1. "Parliament of Tanzania". www.parliament.go.tz. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  2. "FEATURES » | IPPMEDIA". www.ippmedia.com. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abubakari Asenga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.