Wilaya ya Rombo
Wilaya ya Rombo ni miongoni mwa wilaya saba za mkoa wa Kilimanjaro upande wa mashariki wa mlima.
Makao makuu ya wilaya hiyo yanapatikana katika mji mdogo wa Mkuu, kata ya Kelamfua Mokala. Wenyeji ni hasa Warombo.
Wilaya imepakana na Kenya upande wa kaskazini na mashariki, wilaya ya Hai upande wa magharibi na wilaya ya Moshi vijijini upande wa Kusini.
Idadi ya wakazi ilikuwa 260,963 wakati wa sensa ya mwaka 2012. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 275,314 [1].
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Rombo District Development Profile Archived 12 Februari 2016 at the Wayback Machine.
Ramani | Wilaya au manisipaa | Wakazi (2022) | Tarafa | Kata | Kijiji | Eneo km² |
---|---|---|---|---|---|---|
Wilaya ya Hai | 240,999 | 17 | 1,217 | |||
Wilaya ya Moshi Vijijini | 535,803 | 32 | 1,300 | |||
Wilaya ya Moshi Mjini | 331,733 | 21 | 63 | |||
Wilaya ya Mwanga | 148,763 | 20 | 1,831 | |||
Wilaya ya Rombo | 275,314 | 28 | 1,471 | |||
Wilaya ya Same | 300,303 | 34 | 6,221 | |||
Wilaya ya Siha | 139,019 | 17 | 1,217 | |||
Jumla | 1,861,934 | 152 | 13,209 | |||
Wilaya ya Siha hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya wilaya ya Hai. | ||||||
Marejeo: Mkoa wa Kilimanjaro |
Kata za Wilaya ya Rombo - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ||
---|---|---|
Aleni | Chala | Holili | Katangara/Mrere | Kelamfua/Mokala | Kingachi | Kirongo Samanga | Kirwa Keni | Kisale Msaranga | Kitirima | Mahida | Makiidi | Mamsera | Manda | Marangu Kitowo | Mengeni | Mengwe | Motamburu Kitendeni | Mrao Keryo | Nanjara | Ngoyoni | Olele | Reha | Shimbi | Shimbi Kwandele | Tarakea Motamburu | Ubetu Kahe | Ushiri Ikuini |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|