13 Juni
tarehe
(Elekezwa kutoka Juni 13)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Juni ni siku ya 164 ya mwaka (ya 165 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 201.
Matukio
hariri- 313 - Kaisari Licinius anatangaza upande wa mashariki hati ya Milano inayohakikisha uhuru wa dini katika Dola la Roma baada ya miaka 250 hivi ya dhuluma pengine kali dhidi ya Wakristo
Waliozaliwa
hariri- 1865 - William Butler Yeats, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1923
- 1870 - Jules Bordet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919
- 1894 - Mark Van Doren, mshairi na profesa kutoka Marekani
- 1911 - Luis Alvarez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1968
- 1922 - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1942 - Josaphat Louis Lebulu, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1946 - Paul Modrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 1951 - Peter Balakian, mshairi kutoka Marekani
- 1969 - Joseph Keter, mwanariadha kutoka Kenya
Waliofariki
hariri- 1231 - Mtakatifu Antoni wa Padua, padri wa shirika la Ndugu Wadogo na mwalimu wa Kanisa kutoka Ureno
- 1938 - Charles Édouard Guillaume, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920
- 1953 - Douglas Southall Freeman, mwandishi kutoka Marekani
- 1986 - Benny Goodman, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Antoni wa Padua, Felikola, Achilei wa Aleksandria, Trifilo wa Nikosia, Setei, Eulogi wa Aleksandria, Salmodi, Rambati, Aventino wa Larboust, Fandila, Augustino Phan Viet Huy, Nikolasi Thé Duc Bui n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |