Adui ni mtu au kundi ambalo linathibitishwa kama baya au linalotishia amani.

Adolf Hitler ni miongoni mwa watu waliokuwa maadui wa Watu weusi.
Boko Haram ni kundi la itikadi kali ambalo ni adui ya wengi.

Adui hujiona "yeye ni yeye" na "hakuna mtu anayemuweza".

Adui anaweza kutumia zana hatarishi au kupigana kwa kutumia mikono na miguu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adui kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.