Afrodisi wa Beziers

Afrodisi wa Beziers, mzaliwa wa Misri, alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Ufaransa katikati ya karne ya 3.

Mt. Afrodisi akiwa amechorwa kama mfiadini aliyekatwa kichwa.

Alipelekwa huko na Paulo wa Narbonne[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.