Agabi wa Novara (alifariki 10 Septemba 440) anakumbukwa kama askofu wa pili wa Novara (Italia Kaskazini).

Agabi wa Novara

Mt. Agabi katika mavazi ya kiaskofu.
Feast

Mfuasi wa Gaudensi wa Novara, alichaguliwa naye kuwa askofu baada yake, akapewa daraja takatifu hiyo mwaka 417[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. [1]
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.