Age Ain't Nothing But a Number
Age Ain't Nothing but a Number ni albamu ya kwanza ya msanii wa rekodi za muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, Aaliyah. Albamu ilitolewa chini ya studio ya Jive na Blackground Records mnamo tar. 13 Juni 1994, huko nchini Marekani. Baada ya kuingia mkataba na mjomba'ke Barry Hankerson, Aaliyah akatambulishwa kwa msanii na mtayarishaji wa rekodi R. Kelly. Akawa mshauri na mtu wake wa karibu, vilevile akiwa kama mtunzi na mtayarishaji mkuu wa albamu hii.
Age Ain't Nothing but a Number | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Aaliyah | |||||
Imetolewa | Juni 13, 1994 | ||||
Imerekodiwa | Septemba 1993 – Mei 1994 Chicago Recording Company (Chicago, Illinois) |
||||
Aina | R&B, new jack swing | ||||
Urefu | 48:54 | ||||
Lebo | Blackground/Jive/BMG Records 01241-41533 |
||||
Mtayarishaji | Barry Hankerson (mtayarishaji mkuu), R. Kelly | ||||
Wendo wa albamu za Aaliyah | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Age Ain't Nothing But a Number | |||||
|
Wawili hao wamerekodi albamu katika Chicago Recording Company huko mjini Chicago, Illinois. Albamu imetoa vibao vikali viwili, ikiwa ni pamoja na kupata chati katika kumi bora kwa kibao cha "Back & Forth" na "At Your Best (You Are Love)"; single zote mbili zilitunukiwa Dhahabu na Recording Industry Association of America (RIAA). Single mbili za ziadi zilifuata: "Age Ain't Nothing But a Number" na "No One Knows How to Love Me Quite Like You Do".
Age Ain't Nothing But a Number imepokea tahakiki za kiupendeleo na haki kutoka kwa watalaamu wa uhakiki. Albamu iliingia nafasi ya 18 kwenye chati za Billboard 200 na kuuza nakala milioni tatu kwa nchini Marekani, ambapo ilipata kutunukiwa platinamu mara mbili na RIAA mnao tar. 24 Oktoba 2001.
Orodha ya nyimbo
haririNyimbo zote zimetungwa na R. Kelly, kasoro zile zilizowekewa maelezo.
- "Intro" – 1:30
- "Throw Your Hands Up" – 3:34
- "Back & Forth" – 3:51
- "Age Ain't Nothing But a Number" – 4:14
- "Down with the Clique" – 3:24
- "At Your Best (You Are Love)" (Ernie Isley, Marvin Isley, O'Kelly Isley, Ronald Isley, Chris Jasper) – 4:52
- "No One Knows How to Love Me Quite Like You Do" – 4:07
- "I'm So into You" – 3:26
- "Street Thing" – 4:58
- "Young Nation" – 4:41
- "Old School" – 3:17
- "I'm Down" – 3:16
- "The Thing I Like" (UK bonus track) – 3:23[1]
- "Back & Forth (Mr. Lee & R. Kelly's Remix)" (bonus track) – 3:43[1]
Chati
haririChart (1994-2001) | Nafasi iliyoshika |
Thibitisho |
---|---|---|
Canadian Albums Chart | — | Gold[2] |
Dutch Albums Chart[3] | 44 | — |
Japanese Albums Chart[3] | — | Gold[4] |
UK Albums Chart[5] | 23 | Silver[6] |
U.S. Billboard 200[7] | 18 | 2× platinum[8] |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[7] | 3 | |
U.S. Billboard Top Internet Albums (2001)[9] | 13 |
Tanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Age Ain't Nothing But a Number: Aaliyah". Amazon.com. Iliwekwa mnamo 18 Mei 2009.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedCRIA
- ↑ 3.0 3.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedUltratop
- ↑ http://aaliyahremembered2.homestead.com/files/Japan.pdf
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedUK
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedBPI
- ↑ 7.0 7.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedBillboard charts
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedRIAA
- ↑ "Aaliyah Album & Song Chart History". All Music. Billboard. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2010.
Marejeo
hariri- Brackett, Nathan (2004). The New Rolling Stone Album Guide: Completely Revised and Updated 4th Edition. Simon & Schuster. ISBN 0743201698.
{{cite book}}
: Unknown parameter|coauthors=
ignored (|author=
suggested) (help) - Farley, John (2002). Aaliyah: More Than a Woman. Simon & Schuster. ISBN 0743455665.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Kenyatta, Kelly (2002). An R&B Princess in Words and Pictures. Amber Books Publishing. ISBN 0970222432.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Sutherland, William (2005). Aaliyah Remembered. Trafford Publishing. ISBN 1412050626.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)