Agnetha Fältskog

Agnetha Fältskog (amezaliwa na jina la Agneta Åse Fältskog (1950-04-05)5 Aprili 1950) ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo, na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Sweden.

Agnetha Fältskog
Agnetha Fältskog.jpg
Maelezo ya awali
Amezaliwa 5 Aprili 1950 (1950-04-05) (umri 71)
Jönköping, Sweden
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji, Mtunzi, Mtayarishaji wa rekodi
Ala Sauti, Piano
Aina ya sauti [1]Soprano
Miaka ya kazi 1967–1988, 2004–2005
Studio Cupol
CBS Records
Polar Music
Warner Music Group
Tovuti http://www.agnetha.net

Anafahamika sana kwa kuwa mmoja kati wa wanachama wa kundi la muziki la Kiswidi, ABBA.

DiscographyEdit

Kiswidi

Kiingereza

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Uswidi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnetha Fältskog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.