Ahmed Abass

Mwanasiasa wa Kenya

Ahmed Ibrahim Abass ni mwanasiasa wa Kenya na mbunge wa bunge la 11 la Kenya kutoka eneo bunge la Ijara katika kaunti ya Garissa.[1][2][3][4]

Alichaguliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kwa kuungwa mkono na muungano wa CORD mnamo 2013 na alihudumu katika [5]kamati ya bunge kuhusu kazi za umma, barabara na uchukuzi.

Marejeo

hariri
  1. Gachie, Laban Thua (2016-04-30). "Ahmed Ibrahim Abass - Biography, MP Ijara, Garissa, Wife, Family". Kenyan Life (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  2. "Boni Forest operation will hurt economic lifeline of pastoralists, says Ijara MP". Nation (kwa Kiingereza). 2020-06-29. Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  3. Astariko, Stephen. "Garissa Speaker Abass confident of winning Ijara MP seat". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  4. Hajir, Abdimalik Ismail. "Garissa MCAs file motion to remove speaker Ahmed Ibrahim Abass". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  5. "Abass, Ahmed Ibrahim | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2023-11-20.