Eneo bunge la Ijara
Eneo bunge la Ijara ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Garissa, Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Linashirikisha wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Ijara County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Wasio N. Maalim Arte | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Wasio N. Maalim Arte | KANU | |
1997 | Mohamed Dahir Werah | KANU | |
2002 | Yusuf Mohamed Haji | KANU | |
2007 | Yusuf Mohamed Haji | KANU |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Hadaro | 595 |
Ijara | 2,165 |
Ijara South | 1,990 |
Korisa | 1,583 |
Kotile | 833 |
Masalani | 2,163 |
Sangailu | 1,044 |
Jumla | 10,373 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Ijara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |