Ahmed Al-Mambasi (Mombasa, karne ya 19 - Mombasa, karne ya 19) alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Mombasa. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili. Aliandika vitabu vyake kwa sultani wa Mombasa.

Ahmed Al-Mambasi
Jina la kuzaliwa Ahmed Al-Mambasi
Alizaliwa Karne ya 19
Alikufa Karne ya 19
Nchi Kenya, Mombasa
Kazi yake Mshairi

Alijulikana kuandika mashairi mengi kama Bwana ukisha ondoka au Mwandani wangu wa kale.

Alikuwa mwalimu wa mshairi wa Mombasa W. E. Taylor kwa mshairi Mwalimu Sikujua. Alimfundisha kuandika ushairi wa Waswahili.

Mashairi yake hariri

  • Bwana ukisha ondoka
  • Kala nadhumu shairi
  • Mwandani wangu wa kale

Mistari ya Kala nadhumu shairi hariri

Tumi wangu wa kadimu

Ndoo hima maridhiya

Tukua yangu nudhumu

Uiepeleke Ulaya

Kwa mpenzi mahashumu

Tulo naye mazoweya

SIkudhani kama haya

Kuondoa dasituri.

Marejeo hariri

  • Knappert, J. (1982). Four Centuries of Swahili Verse.
  • Frankl, P. J. (1991). Mombasa under the BuSaʿidi A Leaf from the Taylor Papers (SOAS MS 47757, folio 50). Zeitschrift der Deutschen Morgenländischen Gesellschaft, 141(1), 131-138.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Al-Mambasi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.