Mwalimu Sikujua (Mombasa, karne ya 19 - Mombasa, karne ya 19) alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Mombasa. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili. Jina lake linaonyesha alikuwa Mwafrika, tena wa Kibantu.

Mwalimu Sikujua
Jina la kuzaliwa Mwalimu Sikujua
Alizaliwa Karne ya 19
Alikufa Karne ya 19
Nchi Kenya, Mombasa
Kazi yake Mshairi

Alijulikana kuandika mashairi mengi kuhusu mwalimu yake Muyaka bin Hajji.

Aliandikia vitabu vyake kwa sultani wa Mombasa.

Alikuwa mwalimu wa mshairi wa Mombasa W. E. Taylor. Alimfundisha kuandika ushairi wa Waswahili.

Mashairi yake hariri

  • Mashairi ya Sikujua katika Taylor Papers

Mistari ya Mashairi ya Sikujua hariri

Nali nikele kitako

Nikamuona mpenzi

Akija kwa matamko

Ya huruma na mbawazi

Kataka kwangu matako

Ya maneno ya kingozi

Nisiyaone makozi

Kamwambia utapata.

Marejeo hariri

  • Knappert, J. (1982). Four Centuries of Swahili Verse.
  • Frankl, P. J. (1991). Mombasa under the BuSaʿidi A Leaf from the Taylor Papers (SOAS MS 47757, folio 50). Zeitschrift der Deutschen Morgenländischen Gesellschaft, 141(1), 131-138.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwalimu Sikujua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.